Sakramenti hii ni Sakramenti ya upadre ni Sakramenti ya kipekee ndani ya Kanisa Katoriki kwa sababu ya upekee wake iliyo nao katika maisha ya kibinadamu.Ni Sakramenti pekee hupokelewayo na watu maalumu tu waliokizi vigezo vya kuipokea Sakramenti hiyo.Ni Sakramenti wanayo pewa watu walio katika Kanisa Katoriki na tena ni wanaume ambao wanastahili kupewa Sakramenti hii.Daima watu wenye Sakramenti hii wanauwezo wa Kuondoa dhambi hapa Duniani na kumshusha Yesu kupitia mafumbo matakatifu ya Ekaristi na Divai Takatifu.