sallymoudry's Reading List
64 stories
Moyo Wenye Matundu 'Ruptured heart '. by otchousanya
otchousanya
  • WpView
    Reads 228
  • WpVote
    Votes 5
  • WpPart
    Parts 19
Kijana Ngeleja katika dimbwi la madhila mazito , moyo wake umejaa matundu kwa pigo la kuwapoteza wazazi wake wawili , kunajisiwa kwa mdogo wake aitwaye " Nyanjige ". Kwa mwenendo huu wa dunia , anauvua unyoofu wa moyo na kugeuka na kujiingiza kwenye uhalifu pale Mkoani Mwanza . Hana tone la huruma , anatumia mkono wake wa kushoto vizuri kuwapumzisha watu ambao wanakaidi huruma ya dunia kwa kujichunia mali , kupitia kauli yake ya 'Do or DIE' , yaani aidha ufanye au ufe . Mwili wake umejaa makovu ya visu na siafu yote hayajali , anachojali ni kuipendezesha na kuifurahisha nafsi yake . Hakuna marefu yasiyo na ncha anauvua utu huu mbaya , anafanya biashara na anajenga familia , anamuoa Bi. Hajra na wanapata mtoto wa kiume aitwaye Hamza kwa jina la kumbukizi la rafiki yake kipenzi , ambae anafariki katika umri wa miaka 11 , anapata jeraha moyoni mwake. Jeraha ili linajaribu kupozwa baada ya mkewe Bi. Hajra kupata uzao wa mtoto wa kike aitwaye Harshan ............................. Ili kupata udambu zaidi wa simulizi hii ya kusisimua , fuatilia mkasa huu .
BOMU LA KISAIKOLOJIA. by otchoujr
otchoujr
  • WpView
    Reads 148
  • WpVote
    Votes 0
  • WpPart
    Parts 12
Sio kosa langu Mimi Yasini , ujana umenipeleka kuwa hodari wa kugawa dozi , si tu mtaani ata shuleni pia kwa wanafunzi wenzangu na ata kwa Mamadamu wenye " shobo dundo ". Wasichana ni walewale " peleka moto , usilembe". Hawana shukrani , ni waongo, wasaliti, walaghai. Mimi YASINI , sihitaji kulaumiwa kwani kwa ufuska wa huyu " ROSE", pigo nililompa naona ni stahiki yake. Nakualika NDUGU YANGU unipe mawazo yako juu ya usahihi wa maamuzi yangu , kupitia kusoma mkasa huu •••••••• SONGA NAYO.
Abducted(Lesbian Story)(GxG) by 0utta_time
0utta_time
  • WpView
    Reads 531,910
  • WpVote
    Votes 12,348
  • WpPart
    Parts 47
Alex is a 21 year old who struggles to find her place in the world. Then one day she gets abducted by a women called 'Avery' and taken to a place she didn't know existed. From that day her life was changed forever. Avery is 22 years old who is also a vampire queen. She has been searching for her other half 'mate' for a year now. When she meets Alex she just knows that Alex belongs to her. Avery then takes things into her own hands taking Alex to her continent Royalty, where death and revenge soon follow. "Your mine." Avery spoke softly "I'm yours." I responded right before she laid me down on the bed straddling me while kissing my lips softly. Author Note: If you like possessive love stories check out my new in progress story called Her Permission.
My Cursed Mate by mss_amalee
mss_amalee
  • WpView
    Reads 1,084,158
  • WpVote
    Votes 7,575
  • WpPart
    Parts 11
"Yes, you are. Don't you have any shame?" "Shame?" I asked, confused with what shame has to do with being jealous. "Yes, shame. Don't you have any shame for yourself? You're jealous of a woman being with your mate who wants nothing to do with you. Isn't that pathetic?" he asks, shocking me with his cruel words. "Why would you say something like that?" I ask, feeling my voice shake. "Because if you've forgotten your place. You're my destined mate, but you will never be my chosen mate," he says, venom dripping with every word. I can't hold the tears any longer, so I quickly run away from him. I can't spend another second close to him. I wish I didn't have a mate. ************** Liz has been told to reject her mate all her life, but her mom refuses to explain why. One day Liz meets her mate and does the opposite. She's heard stories about how amazing it is to find your mate and was excited to have found hers. She tries to build a relationship with him, but he doesn't want her. He causes her so much pain that she wishes he would reject her, but he doesn't. He wants nothing to do with her but will kill any living thing that tries to harm her. How does Liz, who wishes to spend an eternity with her mate, change his heart? #1 - darklove (02/02/2022) #1 - werewolfandvampires (02/05/2022) #1- painfullove (01/03/2022) #1 - curse (23/07/2022) #1 -paranormal (27/02/23) #1 - hybrid (04/03/23) #2 - possessive (02/02/2022) #2 - Vampirewerewolf (30/07/22) #1 - Cursed (25/01/2023) #4 - Dark (12/16/2022) #7 - Alpha (12/30/22) #9 - Darklove (10/02/2022) #4 - Cruel (17/02/2023) #11 - werewolf (02/01/23)
I Owed The Vampire Prince. by Maroon1479
Maroon1479
  • WpView
    Reads 2,979,937
  • WpVote
    Votes 75,715
  • WpPart
    Parts 34
When Dorinda Bennett was walking home from a college party that her best friend, Kayla, dragged her to, she get harrassed by a school mate. When he start to undress her, she is saved by a guy she has no idea is. She than tells him she 'owes him' for saving her. The next day, he tells her what he's wants, he wants her to be his slave. Now Dorinda has been thrown into a world with vampires, pixies, and other supernatural. - - - Second Book Is Called Sweet Silent Night. Third Book Is Called The Vampire Prince And Me
My brothers by Dksjjxjcjc
Dksjjxjcjc
  • WpView
    Reads 70,301
  • WpVote
    Votes 470
  • WpPart
    Parts 5
Emily lives with her 3 brothers, Jacob 20 (half brother), Connor 16, (half brother), tyler 15 (twin/full brother. and her dad, her dad meets Michelle and they start dating, Michelle has 2 sons, Brian 16, and Gabe 17, soon michelle moves in their house and with her 2 sons, now emily is living with 5 boys.....
Kitanda Cha Mauti by luckyMmaingi
luckyMmaingi
  • WpView
    Reads 294
  • WpVote
    Votes 31
  • WpPart
    Parts 4
maisha
Nifanye Na Mimi Kaka Dick.  Na Juma Hiza     by senior009
senior009
  • WpView
    Reads 2,437
  • WpVote
    Votes 73
  • WpPart
    Parts 19
Kijana aliye fanikiwa kuwa hodari sana alijitoza katika anasa za dunia......
Kwanini Umeolewa?  (Why Did You Get Married?) by GodMuya
GodMuya
  • WpView
    Reads 49
  • WpVote
    Votes 2
  • WpPart
    Parts 2
Hii Ni Stori Ya Kweli na Ya Kusisimua, inayemuhusu Kijana Wa Ki Tanzania Alieachwa na Mpenzi Wake na Kwenda Kuolewa Bila Kumpa Taarifa yeyote kwamba anaolewa,Hutojutia Kusoma Na Muda wako Pia.ASANTE.
My Little Mate by musicfreakforever
musicfreakforever
  • WpView
    Reads 35,853,022
  • WpVote
    Votes 1,015,189
  • WpPart
    Parts 34
Alpha Darren Hale of Moonstone Pack has been searching for his mate for four years, he's beginning to lose hope. Little does he know, he'll soon find his mate, tiny brunette Blaire. But she turns out to be hard to handle for her tiny size. Highest Ranking: #7 in Werewolf