RESHMAIL|VITA YA MAPENZI
Mapenzi ya jinsia moja aliyozoeshwa na mama yake mzazi tangu akiwa mtoto mdogo yanaiziba akili yake asijue lolote kuhusu mwanaume. Nafasi ya kwanza na ya pekee anayoipata ya kwenda mbali na familia yake inamkutanisha na mwanaume wa kwanza katika maisha yake kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook,linaanza penzi dogo li...