marymulondu
Uchungu wa Mwana ni Riwaya yenye hadithi fupi. Riwaya hii inagusia sana maisha ya kilala hoi na ya watu wanaohangaika kila uchao aghalau kupata kitu cha kutia tumboni. Ina mkusanyiko wa hisia, kuna upendo, chuki, matatizo ya kikweli.
Ungana nami ili kujua Maisha ya Binti Mwinyi yalifikia wapi baada ya kuwa na mahangaiko si haba katika safari yake ya maisha.
Riwaya hii ni kazi yangu binafsi pasiwe na mtu hata mmoja mwenye nia ya kuitolesha bila ya idhini yangu.