SmilePromis's Reading List
36 stories
Kitanda Cha Mauti by luckyMmaingi
luckyMmaingi
  • WpView
    Reads 294
  • WpVote
    Votes 31
  • WpPart
    Parts 4
maisha
Ipo Siku  by __chiefdom
__chiefdom
  • WpView
    Reads 703
  • WpVote
    Votes 59
  • WpPart
    Parts 17
Wosia wa babu yangu ukitimia naapa nitakua mtu asiye na kiburi.Naapa kutimiza yote aliyoninongonezea na ninaapa kuitunza aila yangu bila kiburi wala dharau. Maana natumai IPO SIKU.
AFUA NI MBILI,KUFA NA KUPONA by gaesugu
gaesugu
  • WpView
    Reads 34
  • WpVote
    Votes 5
  • WpPart
    Parts 1
**Just for fun**😉 SWAHILI NOVEL
WALLAHI. by King_Mwana
King_Mwana
  • WpView
    Reads 38
  • WpVote
    Votes 4
  • WpPart
    Parts 1
Sogeza kiti kaa. Mke wangu raha hana. Nyumbani amani hakuna. Ni ama zake ama zangu nitakufa na nia.
The Second Door - Episode 1 by themagicHand
themagicHand
  • WpView
    Reads 1,999
  • WpVote
    Votes 26
  • WpPart
    Parts 11
The second Door ni simulizi yeny mikasa na matukio ya aina yake, Ungana na zaidi ya wasomaji 10,000 wa simulizi hii kupitia jumuia yetu ya WattPad, Mtandao wa JamiiForum na Kurasa yetu ya FaceBook. usikubali kupitwa na mikasa hii ya kusisimua
MALAIKA by EdnaKuja
EdnaKuja
  • WpView
    Reads 1,809
  • WpVote
    Votes 38
  • WpPart
    Parts 5
Malaika alikuwa ni msichana mrembo sana aliyepata nafasi ya kutoka kijijini kwao Mbulu kuikimbia ndoa wakati akiwa mtoto na kwenda kuishi na mjomba wake nchini Canada. Maisha yalikuwa ni mazuri mpaka alipoamua kuyaharibu baada ya kukutana na kuwa na mahusiano na kaka mmoja mmexico aliyekuwa na kampuni na viwanda vya nguo mjini Toronto na Mexico na majiji mengine ya Marekani kama New York na Philadephia. Tangu hapo alianza kujichoma sindano za urembo na kubadilisha sura, mwisho wa siku akajikuta ana kansa ya ngozi kutokana na madawa na makemikali aliyokuwa anatumia, akaamua kurudi Tanzania. Hakuna mtu aliyemfahamu na hivyo alijikuta mpweke mpaka wakati anakata roho.
Mapenzi Ya Pembetatu by swahiliwisdom
swahiliwisdom
  • WpView
    Reads 1,049
  • WpVote
    Votes 31
  • WpPart
    Parts 2
Hii ni stori inayomfwata Gilbert, kijana anayerudi Tanzania kutoka uingereza, kabla hajaondoka aliwaacha watu wawili ambao walikuwa wamuhimu sana kwenye maisha yake, Kelvin ambaye saizi ni mcheza mpira maarufu Tanzania na Diana, msichana mrembo anayependa mavazi na ameifanya kazi yake kama "model". Diana alikuwa anampenda sana Gilbert kabla hata hajaondoka, "ntasubiri mbaka siku utakayorudi" ndio maneno ya mwisho aliyomwambia gilbert kabla hajaondoka, lakini Gilbert hajawahi weza kumjibu upendo wake kwa sababu anafahamu kwamba rafiki yake wa karibu Kelvin anampenda sana Diana. Unataka kufahamu nini kitatokea? Unataka ufahamu kwanini ni mapenzi ya pembetatu? Endelea kusoma.
Time after time by paulnovels01
paulnovels01
  • WpView
    Reads 287
  • WpVote
    Votes 5
  • WpPart
    Parts 1
Peter ni binadamu ambaye alikuwa haelewi maisha yake aliumbwa kwa ajili gani na kwa nini alikuwa duniani.Kifo cha mpenzi wake wa siku nyingi siku ya harusi yao ndicho kilichokuwa kikimtia wazimu na kumfanya ajisikie upweke mkubwa katika maisha yake.Hakuruhusu moyo wake upende tena na hili liliwapa wakati mgumu sana kina dada kuingia katika mahusiano ya ki mapenzi na Peter.Baada ya miaka mingi sana Peter anagundua kifo cha mpenzi wake kilipangwa na watu asiowajua na kifo hichi kilimfungilia njia nyingi sana ambazo zilimsaidia kutafuta ukweli.Je ni nani aliyepanga kifo cha mpenzi wake? ni nini hatma ya Peter baada ya kujua hivyo?
The GusiiLand Mystery by Sir_Elvis
Sir_Elvis
  • WpView
    Reads 8
  • WpVote
    Votes 0
  • WpPart
    Parts 1
New Story
It's My Birthday! by Magenta265
Magenta265
  • WpView
    Reads 302
  • WpVote
    Votes 10
  • WpPart
    Parts 5
Trying to stay myself in a chaotic world, trying to remember what life used to be like. How did time go so fast? I wonder... ................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................. Falling in and out of dreams, and birthdays, there are some questions that have hard-to-find answers. How old is old? At what point does the Future begin? One girl decides that it's time to find out. Not that she does, but instead her life takes an unexpected turn until time no longer matters, and almost everything else does. At the age of 120 years, the new adolescence (it seems), family life becomes increasingly important, and so do long-lost friendships. Then she blows out the candles...and a new life begins? Be prepared for selfies, sparklers, candles and ketchup crisps as she flies off to see what "The Birthday" really means... and what happens when her smartphone is lost forever...