GraceKathomi5's Reading List
19 stories
EVIL DUTY by abdam1
abdam1
  • WpView
    Reads 14
  • WpVote
    Votes 0
  • WpPart
    Parts 3
Evil duty ni hadithi inayohusu utawala mbovu ndani ya nchi ya Kopsheng
Nifanye Na Mimi Kaka Dick.  Na Juma Hiza     by senior009
senior009
  • WpView
    Reads 2,440
  • WpVote
    Votes 73
  • WpPart
    Parts 19
Kijana aliye fanikiwa kuwa hodari sana alijitoza katika anasa za dunia......
Chozi Nyonge by kekure
kekure
  • WpView
    Reads 229
  • WpVote
    Votes 29
  • WpPart
    Parts 3
kisa cha msichana mchanga anayepitia changamoto nyingi kutokana na vipimo walivyoweka wazazi wake na waalimu wake. Nani atamwelewa?
Kitanda Cha Mauti by luckyMmaingi
luckyMmaingi
  • WpView
    Reads 295
  • WpVote
    Votes 31
  • WpPart
    Parts 4
maisha
VUTA N'KUVUTE  by hillaryrono47
hillaryrono47
  • WpView
    Reads 755
  • WpVote
    Votes 72
  • WpPart
    Parts 39
Mtanzi ambaye ni Kiongozi wa Takia na mgombea kiti cha uongozi cha Takia anaonyeshwa kama kiongozi aliyejaa udhalimu, majivuno, kiburi, na ukatili. Harakati za kumng'atua uongozini zinaanza Lakini pia wale wanaopania kufanya vile haijulikani Hulka yao itakavyobadilika pindi watakavyopata kitu kile. Kutokana na hilo, Mariko Sipondi anazuumu kujitosa siasani asijue mengi mabaya atakayokumbana nayo. Licha ya ujasiri wake, wengi waliokuea na nia kama yake ni waoga sana wasioweza Kujitokeza waziwazi kwa kuogopa ghadhabu za Mtanzi. Mariko, kinyume na ilivyoagizwa auawe, anapelekwa mafichoni na Mhazili, na hapo ndipo vita vya ukombozi vilipoanza. Mhazili tu ndiye aliye na ujasiri tosha kwenda kinyume na Mtanzi. Ujasiri huu unafufua azma ya wanaharakati kama Karisa na wanapoaungana na kung'amua kuwa lazima wakomeshe uongozi ulio dhalimu, ndipo Takia inapata nuru gizani. Kisa hiki kimejaa Uhondo wa kila aina anzia visanga, Mapenzi, usaliti, na ukarimu. Inafafanua kwa kina jinsi ujasiri unavyoweza kutuepua toka mikono ya viongozi madikteta.
XX703 by CartoonNic
CartoonNic
  • WpView
    Reads 65
  • WpVote
    Votes 8
  • WpPart
    Parts 1
Once upon a time, when people lived normally, when crimes, calamities, over population and poverty were the main concerns of the world. When war was a mainstream event. When every bond stated to whether. Alliances were cut and the only one you can trust is yourself. That once upon a time was long long time ago. So far back that the years stopped being numbers. XX703, eighty seven years ago, was the year when all mayhem occurred. This year became a reminder of survival. It was the time when bonds between countries were completely severed. It was Asia vs. the west. Like in our previous history lessons, heroes were also made before and during this time. There were many, but my favorite had got to be the two teens whom struggled to fight these changes. I'll tell you about them, the story of Edward and Kisses.
Time after time by paulnovels01
paulnovels01
  • WpView
    Reads 287
  • WpVote
    Votes 5
  • WpPart
    Parts 1
Peter ni binadamu ambaye alikuwa haelewi maisha yake aliumbwa kwa ajili gani na kwa nini alikuwa duniani.Kifo cha mpenzi wake wa siku nyingi siku ya harusi yao ndicho kilichokuwa kikimtia wazimu na kumfanya ajisikie upweke mkubwa katika maisha yake.Hakuruhusu moyo wake upende tena na hili liliwapa wakati mgumu sana kina dada kuingia katika mahusiano ya ki mapenzi na Peter.Baada ya miaka mingi sana Peter anagundua kifo cha mpenzi wake kilipangwa na watu asiowajua na kifo hichi kilimfungilia njia nyingi sana ambazo zilimsaidia kutafuta ukweli.Je ni nani aliyepanga kifo cha mpenzi wake? ni nini hatma ya Peter baada ya kujua hivyo?
USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU by braitoni
braitoni
  • WpView
    Reads 129
  • WpVote
    Votes 2
  • WpPart
    Parts 23
USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU Lastlypioneer(braitoni one) SEHEMU YA 1 Katika kijiji cha muchamangwana hukooooooo mkoan Zemzegen kulikuwa na familia moja iliyokuwa ni masikin saaana muda mwingine ucku wao jua lao asubui yaoo mchana wao hawajui nin radha ya rishe yoyote mpaka meno yanasagana misiri ya chuma terezi juu ya paaa la nyumba yaaan kweli ni shida mno kwa familia hiiii iliyokuwa ikakaliwa na shangaz mtu pamoja na Mjomba wake Kijana aliyedhohofika kama mmea wa mharadali uliokoasa lishe kidogo tuu kuanguka chini ufe ndivo alivo kijana huyu alieitwa Inyasi kwa kipind choooote hicho familia hii ilikuwa ikiiashi katika kijiji hiki cha muchamangwana kikiwa chini ya uongozi wa kifalme,nandio ufalme uliosababisha wazazi wa Inyasi kupoteza maisha kisa kutafuta watoto wale na namna ya kuweka maradhi yao vema, daaa ufalme huuu kweli ni mto mkubwa unaokusanya vimito vidogo na kuvimeza yaaan wananchi wanakonda wanakufaa njaaaaa maisha ya taabu lakin hata kile kidogo wakipatacho wanapeleka kwa huhuu falme wakati kijin hakina maji hakuna chochote ambacho msaada kwao zaidi ya mifugo kadhaaaa waliokuwa nayo wazeee watemi wa kijij icho akina Mura hivyo ndivyo maisha yalikuwa yakisonga katika kijiji hiki lakini kumbe kuna siri kubwa ipo ndani ya ufalme huu inayopelekea wananch wake kuwa na maisha magumu kiaasi hichooo.....itaaaaendeleeaaa 0766626773
AFUA NI MBILI,KUFA NA KUPONA by gaesugu
gaesugu
  • WpView
    Reads 34
  • WpVote
    Votes 5
  • WpPart
    Parts 1
**Just for fun**😉 SWAHILI NOVEL
Ipo Siku  by __chiefdom
__chiefdom
  • WpView
    Reads 703
  • WpVote
    Votes 59
  • WpPart
    Parts 17
Wosia wa babu yangu ukitimia naapa nitakua mtu asiye na kiburi.Naapa kutimiza yote aliyoninongonezea na ninaapa kuitunza aila yangu bila kiburi wala dharau. Maana natumai IPO SIKU.