jumasaidy
John. kijana wa miaka 22 anaishi kijiji cha mwenge wilaya ya tanga. Nchini Tanzania.na mdogo wake wa kike aitwaye Zainabu .Lakini moyo wake unakumbwa na mapenzi yasiyoepukika. Sura ya kwanza ya "UTAMU WA MAPENZI" inafungua mlango wa hisia na changamoto zinazo geuza maisha yake