choice

choice

  • WpView
    MGA BUMASA 31
  • WpVote
    Mga Boto 4
  • WpPart
    Mga Parte 1
WpMetadataReadOngoing
WpMetadataNoticeHuling na-publish Sat, Apr 7, 2018
Dopo aver trasferito a Silverside,Ashley,o semplicente Ash,si ritrova,inaspettatamente alla sua vecchia città, ad essere la ragazza più popolare della scuola,anche essendo la nuova arrivata.
All Rights Reserved
Sumali sa pinakamalaking komunidad ng pagkukuwentoMakakuha ng personalized na mga rekomendasyon ng kuwento, i-save ang iyong mga paborito sa iyong library, at magkomento at bumoto para lumago ang iyong komunidad.
Illustration

Magugustuhan mo rin ang

  • UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):
  • Moyo Wenye Matundu 'Ruptured heart '.
  • Delusi Daisy
  • Brother, don't hate me 🥀
  • mały świat 9;
  • Bad idea, right? - Tom Kaulitz
  • À jamais
  • Chapitre 1 sans titre
  • HIDAYA YA MACHOZI
  • mery ur heart

Kuishi ni neema kubwa kutoka kwa Allah subahanahu wataAllah, kwani ukiishi unakuwa miongoni mwa waja wachache waliorudhukiwa fursa hii adhimu. Maisha ni kuwa wewe , na sio kumuishi mtu fulani kwa kumuigiza , maana siku yakiisha maigizo huja kudharirika kwa kuwa ule utandu wa dhahabu uliokusitiri hufunuka na kuonekana kutu iliyokuganda . Kuna kumpenda asiyekupenda , ukamshawishi akupende na ukafanikiwa . pia kuna kumpenda akupendaye mkapendana na mkashikamana , kuna kumpenda akupendaye sana ikakuchanganya , na hali zenye kufanana na hizi nyingi kwa mifano . Nilivutiwa na Jamila kwa hulka yake ya kujitanda na mwanya kabla ya kumjua kiundani zaidi , nilianzisha mazoea naye na yalipokolea nilipata hisia za mapenzi juu yake , na nilipomweleza hakuwa na hiyana, tulikuwa wapenzi kichuo chuo na nilimsaidia katika shida na raha , na yeye alinisaidia kimawazo. Kupenda sana ikawa udhaifu, nilipomjua kwa undani zaidi hatukukosa kugombana kwa kutofautiana kauli kutokana na mihemko yangu ya kimwili. Nililemewa na mapenzi na niliishia kupata sup ya somo la Uchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuchati naye na yeye pia aliniambia alipata sup ya somo la sheria , nilimblock mara kadhaa na kumuunblock nilipohisi dalili za usaliti , pia nilipomueleza habari ya kunicheat tulipishana kauli . Maisha yamekwenda mbiyo sana , ila kwa sasa simtaki tena maishani kwangu , Alhamdullah sikuwahi kuzini nae maana si halali yangu kwa kuwa hatuna ndoa yenye kutushikamanisha naye. Ubaya wangu ni kuwa nikipenda huwa napenda kweli na nikichukia huwa sipendi tena, Allah amjaalie mafanikio kwenye njia yake anayoiendea , ukurasa wake kwenye kitabu cha maisha yangu nimeufunga.

Karagdagang detalye
WpActionLinkMga Alituntunin ng Nilalaman