RUIRU: MAJI KWA WOTE, HAMNA ATAKAYEACHWA NYUMA
  • Reads 5
  • Votes 2
  • Parts 1
  • Reads 5
  • Votes 2
  • Parts 1
Ongoing, First published Feb 14, 2019
Hii ni hadithi yangu kwa maneno 500 inayozungumzia mada inayohusiana na Siku ya Maji Duniani 2019, 'Maji kwa Wote, Hamna Atakayeachwa Nyuma,' kama kiingilio kwenye mradi ya 5 ya uandishi (ya pili inayozungumzia Siku ya Maji) ambayo imepangwa na k
uratibishwa na Chinthaka Nanyakkara - ambaye alikuwa anawakilisha Sweek.com kama balozi wa chapa ila sasa hivi anaendeleza mradi wake wa uandishi kupitia Wattpad!

Ninayo furaha kujiunga kwenye mradi huu wa uandishi inayohusika na Siku ya Maji Duniani, baada ya yeye kunialika kwenye mradi huu. Ili kufanikisha mradi huu, aligawaza programu ya 'Word Document' kupitia Google Drive ambapo niliandika insha kwa maneno mia 500, akasanifisha ikawa tayari kuchapishwa na akatarakibu jaladi ya kitabu kwa kutumia Canva.com.

Natumai kupitia video ya promosheni kuhusu Siku ya Maji Duniani 2019, atatangaza hadithi yangu. Pia natumai atatoa mwongozo wa kutanua hadithi hii ya maneno mia 500 ifike maneno elfu 10 ili ichapishwe kwenye mfumo wa kitabu pepe kupitia Amazon.
All Rights Reserved
Sign up to add RUIRU: MAJI KWA WOTE, HAMNA ATAKAYEACHWA NYUMA to your library and receive updates
or
Content Guidelines
You may also like
You may also like
Slide 1 of 10
OS 10 MOTIVOS cover
"Realidades alternas" cover
IN LOVE WITH MY POETRY: cover
Hasta mi último día cover
mi vida mi decisión cover
Kayyisa cover
Falling apart cover
donatina x gato fino cover
eu e você  cover
WCZESNY WIP // Opowieści z Amatonu - nowelki (+ ARCHIWUM) cover

OS 10 MOTIVOS

1 part Ongoing

Uma coisa peculiar chamou a atenção das detetives locais na cena do crime de Emily. Uma não, 10. Seriam esses 10 motivos bobos e imperceptíveis à frieza do crime que levaram o assassino a fazer o que fez?