Nisamehe Mpenzi
  • Reads 944
  • Votes 46
  • Parts 9
Sign up to add Nisamehe Mpenzi to your library and receive updates
or
#15love
Content Guidelines
You may also like
You may also like
Slide 1 of 8
Tabasamu la Baba ndilo Urithi wangu cover
İKÖKKA (?) cover
Những câu chiện " tình tứ " cover
.-- --- -. -.. . .-. cover
"Agahan" cover
JE,ATANIACHA? cover
Daraja bila Faraja  cover
rosé por rose cover

Tabasamu la Baba ndilo Urithi wangu

5 parts Complete

Tabasamu la Baba ndilo urithi wangu ni hadithi moja mrwa sana ambayo imejaa mafunzo kwa taswira zake zenye hisia mseto. Hadithi hii imetawala kwa marefu na mapana kuwapa shule watu wote walio na wazazi wanaohitaji msaada wa aiana yeyote kutoka kwao wangali hai. Wasije wakaikunja mikono yao wakakosa kuwasaidia wazazi wao au walezi wao.Kwani ni wengi wanatamani kuwa na mzazi au wazazi na hawajawezeshwa kwa sababu walishafariki. Na pia wazazi wamepitia changamoto nyingi kuwalea wanao.Tunamuona mzazi wa Kidoh akipambana vilevile wazazazi wa Bw Kefah.Hadithi hii inamzungumzia Kefah Mpevu ambaye ni mhusika mkuu aliyetambulika kwa uelewa wake mkuu na kuweza kutaka kuchora picha ya Maisha ya Babaye mzazi Bwana Samson Mwamba kwa kuweza kuyapambania maishani yake na ndugu zake. Akaja akapatwa na ugonjwa wa ghafula uliokuwa karibu uuchukue uhai wake.Akaponea kwa tundu la sindano. Hadithi hii imejaa maudhui mengi tofauti ikiwemo ndoa,ukosefu wa elimu na ajira na pia maisha duni watu wayapitiayo kwa ujumla.