Bob Last word
  • Reads 20
  • Votes 0
  • Parts 1
  • Reads 20
  • Votes 0
  • Parts 1
Ongoing, First published Jul 03, 2019
Yooh niaje?
Salamu za hewani basi,niambie habari.
Tuambie kenya as a whole how are doing kabla tumalize hii safari.
Juu hii life kwelii ni ngorii
Walai....
Ukisaka Bob kumbuka pia kupursue your happiness..
Juu sazingine Bob haziwezi buy uhai

Kuna ungojwa zingine ni mapepo ATA ukuwe na car na doo huwezi toboa
So ukizishika mingi Baki mhumble juu kuna place zingine pesa haziwezi Roroa

Sai
Walai
Ni pain kubwa sana tunacondole the loose of Bob collymore
Kifo yake Kwa Sisi wakenya ni blow
For Bob Kesho nalight candle

Juu hatuwezi juwa ni mpaka when tutaamkia free bundle

Vijana wamepata job
Kama mulamwa katelo pia na desagu bila kusahau Eric King wa comedy,sai vile na bonga Kama si bob ungekua unastreem na daily bundle

Sijui ni wangapi tnafeel tutamiss Bob juu za zile small impact
Nikianza kuzitaja sijui kama mta fuliliza
Kukopa credo plus,
Tubonge Sana tupewe story bonus
Dimba na safaricom.
Kustream live tulikuwa ma dot com
Safaricom na bob collymore 4g walifanya tufeel at Home

WhatsApp:  0748107789/0713669720
All Rights Reserved
Table of contents
Sign up to add Bob Last word to your library and receive updates
or
Content Guidelines
You may also like
You may also like
Slide 1 of 10
Hobbylos cover
CAT cover
suwh cover
Bob Last word cover
besteiras cover
sirena isa cover
Leo The Green Lion cover
Ipo Siku  cover
THE HARD TIMES OF HIGHSCHOOL!  cover
a vilag lejobb konyve cover

Hobbylos

1 part Ongoing

Einfach nur Hobbylos