Sabrina ni hadithi inayo simulia maisha ya binti Sabrina ambae amezaliwa katika familia masiki mkoani pwani wilaya ya mkuranga kijiji cha vicheji, analelewa na mama yake katika mazingira magu mpaka anamaliza kidato cha sita kwa bahati mbaya mama yake anafariki kwa kupata ajali, maisha yana zidi kuwa magumu, kwa bahati nzuri baba yake Mzazi ambae aliachana na mama yake Mzazi miaka mingi iliyopita nyuma ana msaidia ana mchukua ili akaishinae, lakini bado maisha yana zidi kuwa magumu kutokana na mateso ya mama wakambo............songa nayoAll Rights Reserved
1 part