1 deel Lopende Jen anatoka dukani .mbele yake kuna mvulana kwqjina hatuja mfahamu
yulemvulana akisema kimoyo moyo :dah kiukweli jeni nimrembo sana sjui ana toka wap sasahivi ,huku wakiendea kusogeleana
yan anaumbo Kama kachorwa jicho lake nkimtazama natamani nipasue mtaro
Jen alimkarimbia hii mambo hakuitikiwa john mamboo dah samahani jeni poa vip, saf mzm ,mzm nakuona unamawazo njia nzima ,dah weacha tuh siwajua asubuhi hii mama vichwa vina moto sawa bhana minikua nakusalimia tuh' Jen akapiga hatua kadhaa mbele dah samahan Jen 'jeni aligeuka kwa hamaki ! bila samahani john"kwasasa watoka wap ? jeni akajib dukani , akaulixa tena na unaelekea wap? jeni alijibu naelekea nyumban niende wap mm sahixi "john akasema sawa ivi baadae utapata mud a? jeni aliuliza muda wavip john akajib walau dakika kumi tuh tuongee jambo kidogooo Jen akajib mhhhhhh! john akadakia nn tena jeni " hapana nafkiria maana nataka kwendasokon muda smrefu nnakupika nk siunajua tena john siuna wadogo zako we hatakama john BC isiwe kes Fanya iv ukienda sokon pitia aponyuma kwa mangi jeni aya sawa .
jeni alifika nyumban nakujiandaa kwendasokon
yupo njian alimuona john akabadilinjia ....