USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU
Lastlypioneer(braitoni one)
SEHEMU YA 1
Katika kijiji cha muchamangwana hukooooooo mkoan Zemzegen kulikuwa na familia moja iliyokuwa ni masikin saaana muda mwingine ucku wao jua lao asubui yaoo mchana wao hawajui nin radha ya rishe yoyote mpaka meno yanasagana misiri ya chuma terezi juu ya paaa la nyumba yaaan kweli ni shida mno kwa familia hiiii iliyokuwa ikakaliwa na shangaz mtu pamoja na Mjomba wake Kijana aliyedhohofika kama mmea wa mharadali uliokoasa lishe kidogo tuu kuanguka chini ufe ndivo alivo kijana huyu alieitwa Inyasi kwa kipind choooote hicho familia hii ilikuwa ikiiashi katika kijiji hiki cha muchamangwana kikiwa chini ya uongozi wa kifalme,nandio ufalme uliosababisha wazazi wa Inyasi kupoteza maisha kisa kutafuta watoto wale na namna ya kuweka maradhi yao vema, daaa ufalme huuu kweli ni mto mkubwa unaokusanya vimito vidogo na kuvimeza yaaan wananchi wanakonda wanakufaa njaaaaa maisha ya taabu lakin hata kile kidogo wakipatacho wanapeleka kwa huhuu falme wakati kijin hakina maji hakuna chochote ambacho msaada kwao zaidi ya mifugo kadhaaaa waliokuwa nayo wazeee watemi wa kijij icho akina Mura hivyo ndivyo maisha yalikuwa yakisonga katika kijiji hiki lakini kumbe kuna siri kubwa ipo ndani ya ufalme huu inayopelekea wananch wake kuwa na maisha magumu kiaasi hichooo.....itaaaaendeleeaaa
0766626773