Sekela ni binti mkubwa anayemiliki pete yenye uwezo wa kufanya vitu vifuatavyo ; 1.Kurudisha kilichokufa 2.Kuonyesha kisichoonekana 3.Kusaidia paliposhindwa kusaidika 4.Kufariji palipo na huzuni Ungana na Sekela kwenye riwaya hii yenye kuonyesha maisha baada ya kifo . ANGALIZO : 1.Usinakili kazi hii wala kuitumia kwa nia nyengine isipokuwa kusoma . 2.Riwaya hii inatumia lugha ambazo zinaweza kutisha au kuchukiza pia .Samahani kwa hilo.