MAISHA YANGU GEREZANI
  • Reads 2,445
  • Votes 35
  • Parts 10
  • Reads 2,445
  • Votes 35
  • Parts 10
Ongoing, First published Mar 19, 2020
Story hii inahusu kushikwa kwangu na tajruba niliyoipata nikiwa gerezani. Kwa hakika naweza kusema nilikuwa masomoni sio gerezani... na alifanyalo Allah hakimu,  lina kheri muhimu.
Ndani ya story hii nitaeleza kheri iliyonibainikia kwa lockdown ya gereza... na elimu na ujuzi unaonifaa hadi sasa..1 (Huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu).
All Rights Reserved
Sign up to add MAISHA YANGU GEREZANI to your library and receive updates
or
#17swahili
Content Guidelines