Story cover for HIDAYA YA MACHOZI by hillaryrono47
HIDAYA YA MACHOZI
  • WpView
    MGA BUMASA 493
  • WpVote
    Mga Boto 88
  • WpPart
    Mga Parte 29
  • WpView
    MGA BUMASA 493
  • WpVote
    Mga Boto 88
  • WpPart
    Mga Parte 29
Kumpleto, Unang na-publish Apr 20, 2020
Masihara na Jeni wanajipata penzini, hawajui kuwa huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa raha maishani mwao. wanapokanwa na kufukuzwa nyumbani na wazazi,  wao hadi kupitia changamoto nyingi kutokana na kukubali kuongozwa na hisia zao. 

kitabu hiki kinasimulia kwa mapana na marefu mengi mabaya wanayokumbana nayo Jeni na Masihara na hata kujipata matatani mara moja ama mbili.
All Rights Reserved
Sign up to add HIDAYA YA MACHOZI to your library and receive updates
o
#1love
Mga Alituntunin ng Nilalaman
Magugustuhan mo rin ang
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  ni otchoujr
5 parte Ongoing
Kuishi ni neema kubwa kutoka kwa Allah subahanahu wataAllah, kwani ukiishi unakuwa miongoni mwa waja wachache waliorudhukiwa fursa hii adhimu. Maisha ni kuwa wewe , na sio kumuishi mtu fulani kwa kumuigiza , maana siku yakiisha maigizo huja kudharirika kwa kuwa ule utandu wa dhahabu uliokusitiri hufunuka na kuonekana kutu iliyokuganda . Kuna kumpenda asiyekupenda , ukamshawishi akupende na ukafanikiwa . pia kuna kumpenda akupendaye mkapendana na mkashikamana , kuna kumpenda akupendaye sana ikakuchanganya , na hali zenye kufanana na hizi nyingi kwa mifano . Nilivutiwa na Jamila kwa hulka yake ya kujitanda na mwanya kabla ya kumjua kiundani zaidi , nilianzisha mazoea naye na yalipokolea nilipata hisia za mapenzi juu yake , na nilipomweleza hakuwa na hiyana, tulikuwa wapenzi kichuo chuo na nilimsaidia katika shida na raha , na yeye alinisaidia kimawazo. Kupenda sana ikawa udhaifu, nilipomjua kwa undani zaidi hatukukosa kugombana kwa kutofautiana kauli kutokana na mihemko yangu ya kimwili. Nililemewa na mapenzi na niliishia kupata sup ya somo la Uchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuchati naye na yeye pia aliniambia alipata sup ya somo la sheria , nilimblock mara kadhaa na kumuunblock nilipohisi dalili za usaliti , pia nilipomueleza habari ya kunicheat tulipishana kauli . Maisha yamekwenda mbiyo sana , ila kwa sasa simtaki tena maishani kwangu , Alhamdullah sikuwahi kuzini nae maana si halali yangu kwa kuwa hatuna ndoa yenye kutushikamanisha naye. Ubaya wangu ni kuwa nikipenda huwa napenda kweli na nikichukia huwa sipendi tena, Allah amjaalie mafanikio kwenye njia yake anayoiendea , ukurasa wake kwenye kitabu cha maisha yangu nimeufunga.
Magugustuhan mo rin ang
Slide 1 of 10
Delusi Daisy  cover
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  cover
Bad idea, right? - Tom Kaulitz cover
Brother, don't hate me 🥀 cover
mery ur heart cover
Tytuł Domyślny - Napisz Swój cover
Chapitre 1 sans titre cover
HIDAYA YA MACHOZI cover
mały świat 9;  cover
My badboy cover

Delusi Daisy

12 parte Ongoing

Lantas, bagaimana gadis pengidap skizofrenia dan introvert akut menjalani kesehariannya? Dibelenggu oleh rasa trauma akan masa lalu membuat hidupnya tak nyaman, hingga ia bertemu dengan sosok yang mengenalkannya pada dunia luar. Lalu, apakah perjalanan Daisy menemukan jati dirinya akan mulus?