MPYA ANAKUJA
Hadithi yakweli ya Mwanadamu huwa zile Nyakati hubadilika.Hasa pale anapokuja mpya, Binadamu hubadilika nakuwa kama Kinyonga.Hubadirika pia wakati. kwa sababu anasafiri katika Nchi wasio ijua? Miaka nenda rudi na kuweka makao yao. Nakujua kuwa wamefika safari yao.kumbe! Walikuwa wameweka Hema katika kipindi kifupi cha Makao yao. Siku ikiwajia Mtu huyu hupoteza ubora .na kushidwa kufanya Vitu hivi. Kutembea ,Kuona, Kuongea na Hata Kichwani mwake hukosa uwezo wa kufikiri hata Kuwaza.na kuwa mtu aliopewa Jina mpya kwa wakati huo hata badae. Kwa sababu? Amepoteza ubora wake.Nakuwa mtu wanao mbeba kama jiwe nakulipeleka sehemu moja kwenda nyingine. Nakungoja siku mpya yako na kukupeleka katika mapango yako ya Maisha .je ushawahi kufikiria kuwa umewatendea mangapi mazuri je? Ushawahi kujiliza ukaomba msahada kwa majirani zako.wakiwa katika mapango hayo.au kusalimu majirani hao. Umejiandahaje mwezangu.Baada ya wewe kuna mpya anakuja .ishi kwa kufahamu kesho yako