Story hii inahusu kushikwa kwangu na tajruba niliyoipata nikiwa gerezani. Kwa hakika naweza kusema nilikuwa masomoni sio gerezani... na alifanyalo Allah hakimu, lina kheri muhimu.
Ndani ya story hii nitaeleza kheri iliyonibainikia kwa lockdown ya gereza... na elimu na ujuzi unaonifaa hadi sasa..1 (Huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu).