Opondo,Mwanahabari mpelelezi wa runinga ya Leo anarekodi kanda ya video kuonyesha Katega akishiriki biashara haramu ya dawa za kulevya.Asilolijua ni kuwa alikuwa akijichimbia kaburi kwa kujaribu kushindana na ndovu kunya. Utaweza kusaliti mtu umpendaye ili kunusuru maisha yake na kutia ya mwingine taabani? Soma kisa chote kufuata mkondo mzima wa sheria dhidi ya wakiukaji wa sheria hizo.All Rights Reserved