MALAIKA

MALAIKA

  • WpView
    LECTURES 1,811
  • WpVote
    Votes 38
  • WpPart
    Chapitres 5
WpMetadataReadEn cours d'écriture
WpMetadataNoticeDernière publication jeu., juil. 23, 2015
Malaika alikuwa ni msichana mrembo sana aliyepata nafasi ya kutoka kijijini kwao Mbulu kuikimbia ndoa wakati akiwa mtoto na kwenda kuishi na mjomba wake nchini Canada. Maisha yalikuwa ni mazuri mpaka alipoamua kuyaharibu baada ya kukutana na kuwa na mahusiano na kaka mmoja mmexico aliyekuwa na kampuni na viwanda vya nguo mjini Toronto na Mexico na majiji mengine ya Marekani kama New York na Philadephia. Tangu hapo alianza kujichoma sindano za urembo na kubadilisha sura, mwisho wa siku akajikuta ana kansa ya ngozi kutokana na madawa na makemikali aliyokuwa anatumia, akaamua kurudi Tanzania. Hakuna mtu aliyemfahamu na hivyo alijikuta mpweke mpaka wakati anakata roho.
Tous Droits Réservés
#1
shortstory
WpChevronRight
Rejoignez la plus grande communauté de conteursObtiens des recommandations personnalisées d'histoires, enregistre tes préférées dans ta bibliothèque, commente et vote pour développer ta communauté.
Illustration
WpActionLinkDirectives de Contenu