USHAURI KATIKA MAISHA
  • Reads 7
  • Votes 0
  • Parts 1
  • Time <5 mins
  • Reads 7
  • Votes 0
  • Parts 1
  • Time <5 mins
Complete, First published Jun 20, 2021
Mature
*USHAURI KUHUSU MAMBO MBALIMBALI KATIKA MAISHA*

*1. Huwezi kubadili namna watu walivyokutendea mpaka ubadili namna unavyowatendea.​*

Matayo 7:12;
"Basi yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii."

*​2. Huwezi kubadili tabia mpaka ubadili marafiki.​*

1Wakorintho 15:33
"Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema."

*​3. Huwezi kubadili ulichovuna mpaka ubadili ulichokipanda.​*

Wagalatia 6:7;
"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna."

*​4. Huwezi kubadili mwelekeo wa maisha yako mpaka ubadili dereva.​*

Kutoka 23:1-3;
"Msivumishe habari za uongo; usishirikiane na mwovu kwa kuwa shahidi wa uongo.

 Usiwafuate walio wengi katika kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lolote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotosha hukumu; wala usimpendelee mtu mnyonge katika neno lake".

Maisha yako yaweza ongozwa na mkumbo wa watu au ​MSIMAMO​ wako ​BINAFSI​ kwa ​UNACHOKIAMINI.​

*​5. Huwezi kubadili hali yako ya kifedha mpaka ubadili tabia yako ya kifedha.​*

Mithali 21:17;
Mtu apendaye anasa atakuwa maskini; yeyote apendaye mvinyo, kula na manukato hatakuwa tajiri."

​Mtindo wa maisha ya ufukara ndiyo busara kwa wengi.​

*​6. Huwezi kunibadili mpaka ujibadili mwenyewe.​*

Matayo 7:3-5.
"Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huioni? Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu
All Rights Reserved
Sign up to add USHAURI KATIKA MAISHA to your library and receive updates
or
Content Guidelines
You may also like
You may also like
Slide 1 of 9
THE DANCING GIRL cover
Betrayed, I Met The Demon Lord cover
Jovari the Blue cover
ကံမကောင်းတဲ့ အမျိုးသားအရံဇာတ်ကောင်ကို လက်ထပ်ဖို့ ၇၀ခုနှစ်သို့ ပြန်သွားခြင်း   cover
𝐓𝐡𝐞 𝐀𝐠𝐧𝐢𝐡𝐨𝐭𝐫𝐢'𝐬  cover
Forgetful Swan  cover
အချစ်၏နူးညံ့ခြင်း[Completed] cover
Cannon Fodder Cultivation Guide cover
"මගේ හිතුවක්කාරයා" cover

THE DANCING GIRL

27 parts Complete

Noor, a dancer in the Royal Court of the Al-Yauzhan Empire wants nothing more than to pay off her debts and lead a nice, simple life-but a chance encounter with the crown prince and his brother brings her into the dangerous world of court politics. As Noor and the princes investigate their uncle and cousin's possible treason, she grows closer to the crown prince, but in order to save the kingdom and the person she loves, Noor will have to risk everything... A romantic adventure set in an imagined Arabic kingdom, THE DANCING GIRL is a story of court intrigues, romantic entanglements, and secret meetings as Noor and her best friend Amir try to help the princes they're falling for expose corrupt court officials with plans to seize the throne. Noor and Amir are close to having everything they've ever dreamed of...now all they need to do is survive.