MWANGAZA WA USHAIRI
  • مقروء 4
  • صوت 2
  • أجزاء 1
  • مقروء 4
  • صوت 2
  • أجزاء 1
إكمال، تم نشرها في يولـ ٢٥, ٢٠٢١
Kitabu hiki kifupi kimeandikwa haswa ili kupanua uelewa wa mashairi na wanafunzi wote wa shule za upili. Mwalimu wangu wa Kiswahili Bw Kennedy Maneno alinifundisha kweli jinsi ya kushughulikia kile kinachofikiriwa na wanafunzi wengi kuwa moja ya mambo magumu zaidi katika mitihani ya Cheti cha Kenya cha Elimu ya Sekondari. Wanafunzi wengi huwa wanaogopa mada hii yenye utata  lakini niko hapa kuwaelezea kuihusu na kuboresha uelewa wao
متوفرة للعموم

1 فصل

قم بالتسجيل كي تُضيف MWANGAZA WA USHAIRI إلى مكتبتك وتتلقى التحديثات
أو
#13swahili
إرشادات المحتوى
قد تعجبك أيضاً