Moyo Wenye Matundu 'Ruptured heart '.
  • Reads 215
  • Votes 5
  • Parts 19
  • Reads 215
  • Votes 5
  • Parts 19
Ongoing, First published Sep 14, 2022
Kijana Ngeleja katika dimbwi la madhila mazito , moyo wake umejaa matundu kwa pigo la kuwapoteza wazazi wake wawili , kunajisiwa kwa mdogo wake aitwaye " Nyanjige ".
Kwa mwenendo huu wa dunia , anauvua unyoofu wa moyo na  kugeuka na kujiingiza kwenye uhalifu pale Mkoani Mwanza .
Hana tone la huruma , anatumia mkono wake wa kushoto vizuri kuwapumzisha watu ambao wanakaidi huruma ya dunia kwa kujichunia mali , kupitia kauli yake ya 'Do or DIE' , yaani aidha ufanye au ufe . Mwili wake umejaa makovu ya visu na siafu yote hayajali , anachojali ni kuipendezesha na kuifurahisha nafsi yake .
Hakuna marefu yasiyo na ncha anauvua utu huu mbaya , anafanya biashara na anajenga familia , anamuoa Bi. Hajra na wanapata  mtoto wa kiume aitwaye  Hamza kwa jina la kumbukizi la rafiki yake kipenzi , ambae anafariki katika umri wa miaka 11 , anapata jeraha moyoni mwake.
Jeraha ili linajaribu kupozwa baada ya mkewe Bi. Hajra kupata uzao wa mtoto wa kike aitwaye Harshan
............................. Ili kupata udambu zaidi wa simulizi hii ya kusisimua , fuatilia mkasa huu .
All Rights Reserved
Sign up to add Moyo Wenye Matundu 'Ruptured heart '. to your library and receive updates
or
Content Guidelines
You may also like
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  by otchoujr
5 parts Ongoing
Kuishi ni neema kubwa kutoka kwa Allah subahanahu wataAllah, kwani ukiishi unakuwa miongoni mwa waja wachache waliorudhukiwa fursa hii adhimu. Maisha ni kuwa wewe , na sio kumuishi mtu fulani kwa kumuigiza , maana siku yakiisha maigizo huja kudharirika kwa kuwa ule utandu wa dhahabu uliokusitiri hufunuka na kuonekana kutu iliyokuganda . Kuna kumpenda asiyekupenda , ukamshawishi akupende na ukafanikiwa . pia kuna kumpenda akupendaye mkapendana na mkashikamana , kuna kumpenda akupendaye sana ikakuchanganya , na hali zenye kufanana na hizi nyingi kwa mifano . Nilivutiwa na Jamila kwa hulka yake ya kujitanda na mwanya kabla ya kumjua kiundani zaidi , nilianzisha mazoea naye na yalipokolea nilipata hisia za mapenzi juu yake , na nilipomweleza hakuwa na hiyana, tulikuwa wapenzi kichuo chuo na nilimsaidia katika shida na raha , na yeye alinisaidia kimawazo. Kupenda sana ikawa udhaifu, nilipomjua kwa undani zaidi hatukukosa kugombana kwa kutofautiana kauli kutokana na mihemko yangu ya kimwili. Nililemewa na mapenzi na niliishia kupata sup ya somo la Uchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuchati naye na yeye pia aliniambia alipata sup ya somo la sheria , nilimblock mara kadhaa na kumuunblock nilipohisi dalili za usaliti , pia nilipomueleza habari ya kunicheat tulipishana kauli . Maisha yamekwenda mbiyo sana , ila kwa sasa simtaki tena maishani kwangu , Alhamdullah sikuwahi kuzini nae maana si halali yangu kwa kuwa hatuna ndoa yenye kutushikamanisha naye. Ubaya wangu ni kuwa nikipenda huwa napenda kweli na nikichukia huwa sipendi tena, Allah amjaalie mafanikio kwenye njia yake anayoiendea , ukurasa wake kwenye kitabu cha maisha yangu nimeufunga.
You may also like
Slide 1 of 10
váratlan találkozás. cover
•♫•♬• The sun •♫•♬•🌞❣️Borusara✔️ cover
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  cover
mały świat 9;  cover
mery ur heart cover
My badboy cover
Bad idea, right? - Tom Kaulitz cover
Tytuł Domyślny - Napisz Swój cover
Delusi Daisy  cover
Chapitre 1 sans titre cover

váratlan találkozás.

1 part Ongoing

lara és matt, illetve lily és chris története. találkoznak, tosznak, vége. (de nem a kapcsolatuknak ;)!)