NI HAKI YA KILA MWANADAMU MWENYE PUMNZI KUJIFUNZA KUHUSU AFYA KWA JAMII YETU. KITABU HIKI KIMEANDALIWA NA MSHAURI WETU WA AFYA NA MATIBABU DR. ELYASI MLAWIZI. UNAWEZA KUWASLIANA NAE KWA NAMBA +255658091941 & +255782812300. KIMEANDALIWA KWA LUGHA NYEPESI YENYE KUELEWEKA KATIKA MAKUNDI TOFAUTI YA ELIMU. WENYE ELIMU NA WASIO NA ELIMU. KITABUHIKI KITAMGUSIA ZAIDI MWANAMKE KUANZIA UMRI WA MIAKA 13 NA KUENDELEA KILA MMOJA ATAPATA KUELEWA ZAIDI KUHUSU MAGONJWA YA WANAWAKE. KITABU HIKI HAKUTUMIA MANENO MAGUMU WALA MAFUMBO MWANAMKE YEYOTE ANAWEZA KUSOMA NA KUELEWA KWA UFASAHA. MAMBO MUHIMU UTAKAYO JIFUNZA KATIKA KITABU HIKI NI MAGONJWA MBALIMBALI YANAYO ATHILI MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE NA TIBA SAHIHI NA SALAAMA ZA KI-ASILIA. UTAJIFUNZA VYANZO VYA UGONJWA DALILI MADHARA NA TIBA YA UGONJWA. KUMBUKA NI MUHIMU KWAKO KUZINGATIA ELIMU HII YA BILA MALIPO KULIKO KUTAFTA TIBA.All Rights Reserved