Baada ya Christine kumsihi kutafuta nafasi ya kazi katika moja wapo ya nchi za nje kwa minajili ya kubadilisha Maisha yake pamoja na ya mamake mzazi, Saida anajikaza kujikwamua kutokana na mateso ya waajiri wake. Je ataweza kukwepa mateso hayo ama atarejea nyumbani kwao akiwa katika sanduku akiwa amekwenda jongomeo?