Maisha tunayoishi yamejaa usaliti, usaliti ambao hadi inafika hatua tunachukia kuwa kwenye mahusiano. Msichana Shamimu anaingia kwenye mahusiano ambayo sio rafiki kwake baada ya mwanaume ambaye alikuwa amempenda kuingia kwenye mahusiano na mwanaume mwingine. Hali ambayo inamfanya Shamimu achukie wanaume, mwisho anakuja kupata mwanaume mwingine wa maisha yake Je nini kilijili karibu kwa pamoja
More details