JE,ATANIACHA? ni hadithi fupi ya kimahaba inayozungumzia safari ya mapenzi ya kijana mmoja kwa jina la Bob Ohms,mwanafunzi katika chuo cha ufundi cha Bumbe. Alishawahi kujihusisha kwa mahusiano mengi yakivunjika.Leo hii yupo kwenye mahusiano Mapya na mchumba mpya ila hawajakutana ndio wamepanga kukutana. Mwandishi amachora taswira ya jinsi wanafunzi hujiingiza katika mahusiano mapema na yanakosa kudumu. Hadithi hii imeandikwa nae Baraza Brian,mwandishi chipkizi mwenye nia ya kutaka kubobea kwa uandishi wa vitabu vingi vya hadithi.
7 parts