FORBIDDEN LUST ni hadithi inayo muhusu Sofia, msichana mwanafunzi aliyejikuta akimpenda jirani yake; mwanaume mtu mzima ambaye hajatulia. Je atafanikiwa kuwa naye? Je ataweza kumpata japokuwa yeye ni mwanafunzi? Soma hadithi hii upate kujua.
Más detalles