Tabasamu la Baba ndilo Urithi wangu
  • Leituras 18
  • Votos 1
  • Capítulos 5
  • Leituras 18
  • Votos 1
  • Capítulos 5
Concluído, Primeira publicação em dez 18, 2023
Tabasamu la Baba ndilo urithi wangu ni hadithi moja mrwa sana ambayo imejaa mafunzo kwa taswira zake zenye hisia mseto.
Hadithi hii imetawala kwa marefu na mapana kuwapa shule watu wote walio na wazazi wanaohitaji msaada wa aiana yeyote kutoka kwao wangali hai. Wasije wakaikunja mikono yao wakakosa kuwasaidia wazazi wao au walezi wao.Kwani ni wengi wanatamani kuwa na mzazi au wazazi na hawajawezeshwa kwa sababu walishafariki. Na pia wazazi wamepitia changamoto nyingi kuwalea wanao.Tunamuona mzazi wa Kidoh
akipambana vilevile wazazazi wa Bw Kefah.Hadithi hii inamzungumzia Kefah Mpevu ambaye ni mhusika mkuu aliyetambulika kwa uelewa wake mkuu na kuweza  kutaka kuchora picha ya  Maisha ya Babaye mzazi  Bwana Samson Mwamba  kwa kuweza kuyapambania maishani yake na ndugu zake. Akaja akapatwa na ugonjwa wa ghafula uliokuwa karibu uuchukue uhai wake.Akaponea kwa tundu la sindano.
Hadithi hii imejaa  maudhui mengi tofauti ikiwemo ndoa,ukosefu wa elimu na ajira na pia maisha duni watu wayapitiayo kwa ujumla.
Todos os Direitos Reservados
Inscreva-se para adicionar Tabasamu la Baba ndilo Urithi wangu à sua biblioteca e receber atualizações
or
Diretrizes de Conteúdo
Talvez você também goste
Talvez você também goste
Slide 1 of 10
kenangan untuk kalian cover
.-- --- -. -.. . .-. cover
Những câu chiện " tình tứ " cover
Daraja bila Faraja  cover
As Amigas cover
Mama cover
"Agahan" cover
JE,ATANIACHA? cover
rosé por rose cover
İKÖKKA (?) cover

kenangan untuk kalian

1 capítulo Em andamento

Pernah di benci oleh orang sekitar? Bagaimana jika di benci oleh keluarga sendiri hanya Karena kesalahpahaman? Itu yang di rasakan oleh Taufan ⚠️WARNING BOBOIBOY HANYA MILIK MONSTA SAYA HANYA MEMINJAM KARAKTER NYA SAJA