UBAYA WANGU ( Simulizi fupi):
  • Reads 27
  • Votes 2
  • Parts 5
  • Reads 27
  • Votes 2
  • Parts 5
Ongoing, First published Apr 22, 2024
Kuishi ni neema kubwa kutoka kwa Allah subahanahu wataAllah,  kwani ukiishi unakuwa miongoni mwa waja wachache waliorudhukiwa fursa hii adhimu. Maisha ni kuwa wewe ,  na sio kumuishi mtu fulani kwa kumuigiza ,  maana siku yakiisha maigizo huja kudharirika kwa kuwa ule utandu wa dhahabu uliokusitiri hufunuka na kuonekana kutu iliyokuganda . 
Kuna kumpenda asiyekupenda ,  ukamshawishi  akupende na ukafanikiwa . pia   kuna kumpenda akupendaye mkapendana na mkashikamana ,  kuna kumpenda akupendaye sana ikakuchanganya ,  na hali zenye kufanana na hizi nyingi kwa mifano . 
Nilivutiwa na Jamila kwa hulka yake  ya kujitanda na mwanya kabla ya kumjua kiundani zaidi ,  nilianzisha mazoea naye na yalipokolea nilipata hisia za mapenzi juu yake ,  na nilipomweleza hakuwa  na hiyana,  tulikuwa wapenzi kichuo chuo na nilimsaidia katika shida na raha ,  na yeye alinisaidia kimawazo. 
Kupenda sana ikawa udhaifu, nilipomjua kwa undani zaidi  hatukukosa kugombana kwa kutofautiana kauli kutokana na mihemko yangu ya kimwili. 
Nililemewa na mapenzi na niliishia kupata sup ya somo la Uchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuchati  naye na yeye pia aliniambia alipata sup ya somo la sheria  , nilimblock mara kadhaa na kumuunblock  nilipohisi dalili za usaliti ,  pia nilipomueleza habari ya kunicheat   tulipishana kauli .  Maisha yamekwenda mbiyo sana ,  ila kwa sasa simtaki tena maishani kwangu ,  Alhamdullah sikuwahi kuzini nae maana si halali yangu kwa kuwa hatuna ndoa yenye kutushikamanisha naye. 
Ubaya  wangu ni kuwa nikipenda huwa napenda kweli na nikichukia huwa sipendi tena,  Allah amjaalie mafanikio kwenye njia yake anayoiendea , ukurasa wake kwenye kitabu cha maisha yangu nimeufunga.
All Rights Reserved
Sign up to add UBAYA WANGU ( Simulizi fupi): to your library and receive updates
or
Content Guidelines
You may also like
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  by otchoujr
5 parts Ongoing
Kuishi ni neema kubwa kutoka kwa Allah subahanahu wataAllah, kwani ukiishi unakuwa miongoni mwa waja wachache waliorudhukiwa fursa hii adhimu. Maisha ni kuwa wewe , na sio kumuishi mtu fulani kwa kumuigiza , maana siku yakiisha maigizo huja kudharirika kwa kuwa ule utandu wa dhahabu uliokusitiri hufunuka na kuonekana kutu iliyokuganda . Kuna kumpenda asiyekupenda , ukamshawishi akupende na ukafanikiwa . pia kuna kumpenda akupendaye mkapendana na mkashikamana , kuna kumpenda akupendaye sana ikakuchanganya , na hali zenye kufanana na hizi nyingi kwa mifano . Nilivutiwa na Jamila kwa hulka yake ya kujitanda na mwanya kabla ya kumjua kiundani zaidi , nilianzisha mazoea naye na yalipokolea nilipata hisia za mapenzi juu yake , na nilipomweleza hakuwa na hiyana, tulikuwa wapenzi kichuo chuo na nilimsaidia katika shida na raha , na yeye alinisaidia kimawazo. Kupenda sana ikawa udhaifu, nilipomjua kwa undani zaidi hatukukosa kugombana kwa kutofautiana kauli kutokana na mihemko yangu ya kimwili. Nililemewa na mapenzi na niliishia kupata sup ya somo la Uchumi kutokana na kutumia muda mwingi kuchati naye na yeye pia aliniambia alipata sup ya somo la sheria , nilimblock mara kadhaa na kumuunblock nilipohisi dalili za usaliti , pia nilipomueleza habari ya kunicheat tulipishana kauli . Maisha yamekwenda mbiyo sana , ila kwa sasa simtaki tena maishani kwangu , Alhamdullah sikuwahi kuzini nae maana si halali yangu kwa kuwa hatuna ndoa yenye kutushikamanisha naye. Ubaya wangu ni kuwa nikipenda huwa napenda kweli na nikichukia huwa sipendi tena, Allah amjaalie mafanikio kwenye njia yake anayoiendea , ukurasa wake kwenye kitabu cha maisha yangu nimeufunga.
You may also like
Slide 1 of 10
My badboy cover
mery ur heart cover
mały świat 9;  cover
váratlan találkozás. cover
Tytuł Domyślny - Napisz Swój cover
Chapitre 1 sans titre cover
Bad idea, right? - Tom Kaulitz cover
Delusi Daisy  cover
•♫•♬• The sun •♫•♬•🌞❣️Borusara✔️ cover
UBAYA  WANGU (  Simulizi fupi):  cover

My badboy

2 parts Ongoing

Ciao, sono Hope, ho 16 anni e mi sono innamorata del badboy più figo della scuola.