
Mzigo wa majuto ni mkubwa sana. Ndiyo muda sasa Alfred anagundua baada ya kumpachika ujauzito rafikiye wa chuo kikuu, na kumkana hata mwanaye wa damu. Ameketi kwenye ufuo wa bahari, akiogelea katika majuto baada ya kumpoteza mkewe Esra, na wanawe wawili (wa kupanga) wanamhitaji zaidi.All Rights Reserved
1 part