Mapenzi Ya Pembetatu
  • Reads 1,046
  • Votes 31
  • Parts 2
  • Reads 1,046
  • Votes 31
  • Parts 2
Ongoing, First published May 10, 2016
Hii ni stori inayomfwata Gilbert, kijana anayerudi Tanzania kutoka uingereza, kabla hajaondoka aliwaacha watu wawili ambao walikuwa wamuhimu sana kwenye maisha yake, Kelvin ambaye saizi ni mcheza mpira maarufu Tanzania na Diana, msichana mrembo anayependa mavazi na ameifanya kazi yake kama "model".
  
  Diana alikuwa anampenda sana Gilbert kabla hata hajaondoka, "ntasubiri mbaka siku utakayorudi" ndio maneno ya mwisho aliyomwambia gilbert kabla hajaondoka, lakini Gilbert hajawahi weza kumjibu upendo wake kwa sababu anafahamu kwamba rafiki yake wa karibu Kelvin anampenda sana Diana.
  
  Unataka kufahamu nini kitatokea? Unataka ufahamu kwanini ni mapenzi ya pembetatu?  Endelea kusoma.
All Rights Reserved
Sign up to add Mapenzi Ya Pembetatu to your library and receive updates
or
#2romance
Content Guidelines
You may also like
You may also like
Slide 1 of 10
Bunga Belum Mekar cover
NO DEBI ENAMORARME DE TI  cover
EPIC!! EROTIC NOVEL LOTS OF EROTIC CONTENT!!!! SMUT SMUT SMUT!!! cover
Tulipanes~🌷(+18) cover
༄༆❤︎~𝑴𝒊𝒍𝒐𝒔𝒄 𝒘 𝒌𝒂𝒓𝒕𝒂𝒄𝒉~❤︎༆༄ cover
you belong to me  cover
Sehangat Cahaya Cinta cover
La Vida De ÖZILL Y Su Amores cover
Menikahi Sekretaris Papi  cover
Mapenzi Ya Pembetatu cover

Bunga Belum Mekar

4 parts Ongoing

Kim Sejeong terpaksa menyamar menjadi laki-laki di sekolah asrama khusus putra untuk menggantikan saudara kembarnya, Kim Taehyung yang menghilang secara misterius. Sejeong hampir saja menyerah hingga ia bertemu dengan teman sekamarnya, Cha Eunwoo.