Gerald ni kijana mdogo wa miaka 17 katika kitongoji kidogo cha Broodville town.Ndoto mbaya anazoota zinamkosesha amani ila kibaya zaidi yote anayoota yanatokea katika maisha.Gerald anahangaika kupata ukweli juu ya ndoto zake je ni kweli alikuwa anaota na ndoto zile zilikuwa na siri gan?
All Rights Reserved
Join the largest storytelling communityGet personalized story recommendations, save your favourites to your library, and comment and vote to grow your community.