Kangi,mpenzi wake na marafiki wanaenda kujivinjari msituni kwa raha zao wasijue kilichowakodolea macho. Wote wanamwona binti mrembo na kumfuata ila Kangi anakashifu hatua hiyo.Kwa kuwa ni swala la wengi wape,anaamua kuwafuata na punde tu baada ya kujitoma jumbani alilopata,anasikia mayowe ya mpenzi wake.Kufumba na kufumbua,michirizi ya damu inaonekana sakafuni....... hadithi fupi ya kuogofya! follow me for more amazing creative and fictional stories.
More details