6 parts Ongoing Ni hadithi inayohusu kijana anayetafuta maisha kwa nguvu jambo lililomfanya hakaamua kuingia katika ushirikina ... ila halikutana na mzee mmoja (Abdubakar) ambaye alimfanya haachane na kitu hanataka kufanya badala yake hamsaidie kwenye shida yake na hatampatia mali nyingi.... je Abdubakar halikuwa na shida gani... kwanini halimchagua Alli ... na Alli halitatuaje shida ya Abdubakar... soma FUKWE... mwanzo mwisho utapata majibu ya haya maswali yote....
usisahau kukomenti pia.......itapendeza zaidi