Select All
  • SUZANNA
    549 23 19

    Suzzanna ni kielelezo cha mtoto msichana wa kiafrika na changamoto anazokumbana nazo maishani. Ni tumaini kuwa licha ya changamoto hizi pana njia iwepo nia

    Completed  
  • NDOTO YA KWELI
    15 1 1

    George hakutambua kuwa alikuwa katika ndoto yenye ukweli mpaka yalipomkuta kwa uhalisia

  • KISASI
    15 0 2

    ......Alikuwa tayari ameua maajenti waliowatimua na kunadi vitu vyao vya nyumba,akamtafuta kijana yule aliyekejeli aila yake na kufanya afutwe kazi na kumtupa kisimani.Aliyekuwa amesalia ni Jane.... Anasa/Kisasi/Upendo

  • KIZAZI DHALIMU
    1 1 6

    "Advancement indeed," alijisemea akitikisa kichwa, "the more we advance technologically, the more our thoughts are becoming more futile. We cannot control our emotions, like unreasoning animals we act blindly without thinking of consequences or attitude towards God, saying is freedom, but freedom which has no limit is...

  • SHAMBA LA MAWE
    145 1 6

    Msururu wa hadithi unaozungumzia kudorora kwa haki,ukosefu wa matumaini,dhuluma pamoja na utapeli unaoendeshwa na viongozi dhidi ya wananchi. Kauli Mbiu ikiwa kuchomoza kwa mwezi usiku wa giza totoro

    Completed