Select All
  • SABRINA
    1.2K 0 1

    Sabrina ni hadithi inayo simulia maisha ya binti Sabrina ambae amezaliwa katika familia masiki mkoani pwani wilaya ya mkuranga kijiji cha vicheji, analelewa na mama yake katika mazingira magu mpaka anamaliza kidato cha sita kwa bahati mbaya mama yake anafariki kwa kupata ajali, maisha yana zidi kuwa magumu, kwa bahati...