Lunamodeste

Kumbe si mimi pekee yangu

HavilahCasia

ppoa halafu pia ww unitumie yenye umesoma moto

HavilahCasia

walai kama mm kuna stori nimetoka kusoma ilikua tamu ,,,,,,,,na imagine ilikua na 76chapters na chapter moja ukiiandika kwa book inatake 15pages

HavilahCasia

mary nimekulook 

Lunamodeste

@HavilahCasia wasee hushughulika na kusoma very few hufollow
Ответить

HavilahCasia

Na watu wa huku hawafollow watu am ni vile tuko black
Ответить