Majibu haya Maswali nyenu
1:Methali zinataja imani ya
Binadamu kwa Mungu
2:Methali zinazotaja Binadamu
Kusiana na Viungo vyake
3:Methali zinazotathimini Matendo
Na Tabia zake.
4:Methali zinazotaja Matendo au mambo yatokea na Kuathiri Maisha ya binadamu namaendeleo yake
5:Methali zinataja utu wema mausiano mazuri
6:Methali zinalinganisha Tabia za Watu na wanyama
7:Methali zinataja hali mbalimbali za nyakati na Mahali
8:methali zinataja Tuzo au Adhabu