Vizuri grace,
Ongeza jitihada na Mungu atakuinua,
Mimi pia natoka Tanzania , natumia jina la otchou jr .
Nina kazi zangu zinaitwa , Moyo wenye matundu ' ruptured heart", BOmu la Kisaikolojia, stains of love huku Wattpad , unaweza kupitia ukatoa maoni.