KIZAZI DHALIMU

0 1 1
                                    

"Advancement indeed," alijisemea akitikisa kichwa, "the more we advance technologically, the more our thoughts are becoming more futile. We cannot control our emotions, like unreasoning animals we act blindly without thinking of consequences or attitude towards God, saying is freedom, but freedom which has no limit is not freedom at all but slavery."
Kisa kinasimuliwa katika nyakati za uvumbuzi na mapinduzi katika nyanja za sayansi na teknolojia. Yapo mengi yanatokea kuwaumiza na kuwadhalilisha wanyonge, japo utandawazi umeeneza manufaa mengi, kuna maovu mengi pia yameibuka baada ya kupiga hatua kimaendeleo.
Kuna uwezekano kuwa maovu mengine hayangetokea pasi na mitandao ya kijamii au yangesalia yalikoibuka, ila kwa sababu ya maingiliano na utandawazi uozo unaenea kama moto.
"Never, never be afraid to do what's right, especially if the well-being of a person or animal is at stake. Society's punishments are small compared to the wounds we inflict on our soul when we look the other way,"  MLK

KIZAZI DHALIMU Where stories live. Discover now