THE BEAUTY OF HORROR CHAPTER 1

12 2 0
                                    

     "Hodi"ilikuwa ni sauti ya afisa polisi ambaye alikuwa akibisha hodi kwenye nyumba moja ambayo ilionekana kutelekezwa na haikuonekana kuwa na watu ndani yake.polisi huyo aliendelea kubisha hodi bila kupata majibu hivyo akaamua kuchukua maamuzi ya kuingia ndani ya nyumba.
       Alipofanikiwa kuufungua mlango alikumbana na giza kubwa sana kwani hakukuwa na mwanga katika nyumba hiyo hivyo alichomoa tochi kutoka katika mfuko wake na kuangaza mwanga ndani ya chumba hicho alishangaa kuona nyumba hiyo ikiwa imevurugika mno jambo ambalo lilimtia wasiwasi mkubwa sanaa hivyo kuamua kutoa bastola kutoka katika kimkoba maalum cha kuhifadhia bastola na kisha kuendelea kusonga mbele huku akijaribu kuita kama angepata jibu lolote.
      "Hellow kuna yeyote humu " aliendelea kuita bila ya mafanikio yeyote.akiwa yupo katikati ya chumba hicho alishtuka baada ya kuona mlango unafungwa na mtu ambaye kimuonekano alikuwa kavaa nguo mfano wa kanzu nyeupe ambayo ilionekana kushakaa sana.pia mtu huyo alionekana kuwapo na nywele ndefu na zilizokuwa mbaya sana

Kiswahili

    Yule mtu alifunga mlango kwa komeo na kisha kumjeukia  yule polisi

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

    Yule mtu alifunga mlango kwa komeo na kisha kumjeukia  yule polisi . polisi yule alimuelekezea bastola yule mtu huku akisema"fungua mlango au nguvu itatumika "lakini yule mtu hakusema lolote zaidi alibaki katika hali iyo bila kuongea wala kufilisika.
    Polisi yule akaamua kumsogelea yule mtu ili kutaka kujua sura ya yule mtu.Lakini maajabu ni kwamba kila hatua aliyokuwa akipiga ndio umbali wa yeye na yule mtu ulizidi kuongezeka.akajaribu kukimbilia lakini hakuweza kumfikiria mtu yule.
    Yule mtu alianza kuongea maneno ambayo hayakueleweka,polisi alichoona hali imekuwa tete alinyoosha risasi yake na kuamua kupiga yule mtu katika sehemu za kichwa.maajabu mtu yule hakuandika wala kutoa damu wala sauti yoyote ya uchungu ila aliacha na kuinua kichwa chake na ndipo kuonyesha sura yake halisi.alikuwa sio mtu bali kiumbe mfano wa jini.
  

    Yule polisi aliendelea kumpiga risasi bila ya mafanikio

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

    Yule polisi aliendelea kumpiga risasi bila ya mafanikio.yule mtu alimnyooshea mkono yule polisi na nguvu za ajabu zilimrusha polisi yule nakumbamiza ukutani kisha akaanza kukigawa na kuwa mtu mwenye miili mitatu

yule mtu alimnyooshea mkono yule polisi na nguvu za ajabu zilimrusha polisi yule nakumbamiza ukutani kisha akaanza kukigawa na kuwa mtu mwenye miili mitatu

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

       Yule jini alinyoosha tena mkono wake na ghafla akaanza kunivua kichwa cha polisi yule mpaka kikangooka.ikawa ndo mwisho wa maisha ya polisi yule.jini yule alikichukua kichwa kile na kukiweka kwenye moja ya nguzo ya chumba kingine cha siri sana.kichwa hicho kiliwekwa kwa namna ya kinyama sana kiasi cha kwamba kililitisha sana

Je ninihatma ya yote haya usikose sehemu ya pili ya simulizi kali ya beauty of horror

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

Je ninihatma ya yote haya usikose sehemu ya pili ya simulizi kali ya beauty of horror

The Beauty Of Horror Where stories live. Discover now