vamps and wolves _ep 1

4 0 0
                                    

Katika nchi moja kulitawala falme mbili ambazo hazikuwa za kibinaadam kwani zilikuwa tofauti sana na wanadamu kutokana na nguvu zilizokuwa katika watu wa falme hizo.
Falme ya kwanza ilikuwa ni falme ya mavamps au vampires.falme hii ilikuwa ya kikatili sana kwa sababu yenyewe iliishi kwa kutegemea damu za wanadam ili ziweze kuishi hivyo haikuwa na ukaribu au urafiki na wanadamu.
Falme ya pili ni falme ya mbwa mwitu.hawa waliishi sawa na wanadamu lakini wao walikuwa na uwezo wa kujibadilisha na kuwa mbwa mwitu au wolves.
Kutokana na utofauti uliopo baina ya falme hizi hakukuwepo na amani au urafiki baina ya falme hizi kwani ufalme wa mawolves wao uliapa kuwalinda wanadamu dhidi ya mavamps jambo ambalo vampires hawakukubaliana kabisa kwani walijua wazi kuwa bila damu ya binadamu wao wangekufa na kupotea kabisa katika uso wa dunia hivyo waliamua kutangaza vita dhidi ya mbwa mwitu chini ya kiongozi wao aliyetambulika kwa kina la LORD AMANDA.
Wolves nao walikaa chonjo muda wote ili kujihami na uvamizi wa mavamps nao walikuwa chini ya kiongozi wao aliyeitwa ALPHA.
Siku moja ALPHA akiwa kwenye territory zake alihisi hali isiyo ya kawaida katika ufalme wake kwani alihisi harufu ya vampire katika eneo alilokuwepo haraka alijibadilisha kuwa nusu mtu nusu mbwa mwitu

     Siku moja ALPHA akiwa kwenye territory zake alihisi hali isiyo ya kawaida katika ufalme wake kwani alihisi harufu ya vampire katika eneo alilokuwepo haraka alijibadilisha kuwa nusu mtu nusu mbwa mwitu

Oops! Ang larawang ito ay hindi sumusunod sa aming mga alituntunin sa nilalaman. Upang magpatuloy sa pag-publish, subukan itong alisin o mag-upload ng bago.


ili aweze kujiami na shambulio la kushtushwa kwa mbali alimuona AMANDA ambaye aliweza kumkamata mke wa ALPHA huku akiondoka nae taratibu bila ya hofu yoyote.ALPHA alitoka kwa spidi ya ajabu kama upepo lakini alichelewa kwani AMANDA alikuwa tayari amemngata mke wa ALPHA

ALPHA alishindwa cha kufanya,mwili wote ukamilishaji nguvu, machozi yalimtiririka na wakati huo AMANDA alikuwa akiondoka kwa mwendo wa Madaha kwani tayari alichokuwa amepanga lilitekelezwa

Oops! Ang larawang ito ay hindi sumusunod sa aming mga alituntunin sa nilalaman. Upang magpatuloy sa pag-publish, subukan itong alisin o mag-upload ng bago.


ALPHA alishindwa cha kufanya,mwili wote ukamilishaji nguvu, machozi yalimtiririka na wakati huo AMANDA alikuwa akiondoka kwa mwendo wa Madaha kwani tayari alichokuwa amepanga lilitekelezwa.
ALPHA aliuendea mwili wa mke wake na kuubeba hadi kwenye kasri lake huku akiwa na majonzi mengi sana kwani mkewe alishaambukizwa uvampire .Watu wote walishangaa kumuona kiongozi wao akiwa kwenye hali ya majonzi wote walipiga goti ili kumpa heshima kiongozi wao .
ALPHA alisogea taratibu mbele ya umati wa wanajeshi wake hadi sehemu ambayo ilijengwa kama madhabahu ambapo aliulaza mwili
wa mkewe akiwa na machungu sana.
ALPHA aliwageukia wanajeshi wake na kuwaambia kwa sauti yenye hasira"Watu wangu hatutaendelea kuwaangalia hawa vampires wakitushika makalio yetu hatutaendelea kuwavumilia kwa vitendo vyao vya kuwaua binadamu na kuwageuza kuwa vamps Leo wameyagusa makalio yetu kwa kunigeuzia mke wangu malkia wenu kuwa vampire sasa leo kwa kufa na kupona kwa damu na upanga tunakwenda kuwaangamiza wote bila kujali rika wala umri amri ninayotoa ni kuua vampires wote" alihitimisha amri hiyo huku akijigeuza mbwa mwitu mkubwa kuliko hapo awali huku wanajeshi wote nao wakijigeuza kuwa mambwa mwitu na wakipiga kelele nyingi sana kiasi ya kwamba kila mtu aliogopa

     ALPHA aliwageukia wanajeshi wake na kuwaambia kwa sauti yenye hasira"Watu wangu hatutaendelea kuwaangalia hawa vampires wakitushika makalio yetu hatutaendelea kuwavumilia kwa vitendo vyao vya kuwaua binadamu na kuwageuza kuwa vamps Leo wameya...

Oops! Ang larawang ito ay hindi sumusunod sa aming mga alituntunin sa nilalaman. Upang magpatuloy sa pag-publish, subukan itong alisin o mag-upload ng bago.

ALPHA pamoja na jeshi lake hilo walikimbia kwa spidi isiyoyakawaida mpaka wakafika eneo linalojulikana kama woodland ambapo ndipo ufalme wa vampires ulipo.ALPHA aliligeukia jeshi lake na kulipa ishara ya kuvamia ngome ya vampires wale mbwa mwitu walikimbia kwa kasi na kuruka na kuzama ndani ya ngome ya vampires
Vampires wote walishtuka kuona mbwa mwitu wengi na pia walikuwa hawajajiandaa kwa uvamizi huo hivyo walishambuliwa na meno na kucha kali za mbwa mwitu
AMANDA alishtuka kuona mbwa mwitu katika territory zake kwani hakutegemea hilo litokee.akiwa katika hali hiyo ya mshangao alisikia sauti nzito ikitoka nyuma yake"ulizani umeniweza,hahaha ulikuwa mjinga sana"AMANDA aligeuka nyuma na akamuona ALPHA akiwa nusu mtu nusu mbwa mwitu
Vita ikaanza baina yao.walipigana kwa nguvu zote lakini AMANDA alipigwa barabara na ALPHA.ALPHA hakumuachia hata sekunde ya kupumua AMANDA

      Vampires waliuawa vibaya sana kiasi cha kwamba walipungua sana

Oops! Ang larawang ito ay hindi sumusunod sa aming mga alituntunin sa nilalaman. Upang magpatuloy sa pag-publish, subukan itong alisin o mag-upload ng bago.

Vampires waliuawa vibaya sana kiasi cha kwamba walipungua sana.alpha aliingia uwanja wa vita na kutoa ishara kwa vijana wake wapunguze Mashambulizi, vampires waliobakia wakaanza kurudi nyuma .ALPHA alitoa kauli kwa vampires waliobaki kuwa wahame kabla hawajaja kuwamaliza kabisa
Kisha akaondoka akiwa na kichwa cha mbaya wake AMANDA na kurudi katika kasri lake.alipofika aliuendea mwili wa mke wake lakini maajabu yake hakuukuta .
******TO BE CONTINUE*******

vampires& werewolvesTahanan ng mga kuwento. Tumuklas ngayon