Kuliko jana
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko janaKuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko janaSi nakuomba Mungu, uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu, ninawaombea
Maisha marefu wazidi kukuona ukinibarikiUjue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimsulubisha Yesu masiah bila kusitaBwana ni mwokozi wangu,
Tena ni kiongozi wangu,
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi,
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana,Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo kuliko janaWewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondoleaBwana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu, (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana, (Amen)
Baraka zake hazikwishi, (Amen)
Si kama binadamu habadiliki, (Amen)
Ananipenda, leo kuliko jana, (Amen)Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo mimi kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende,
Leo mimi kuliko jana
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)B
wana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda, leo kuliko janaSauti sol
VOUS LISEZ
Gospel lyrics
SpiritualDécouvrez les lyrics des meilleures chansons gospel américaines, françaises, européennes, africaines...