Miaka Kumi Ya Ndoa Yangu
wakati mti unakua kuelekea juu ndivyo unavyokua kuelekea chini, na kukua huku kwa jina lingine tunaweza kuita kukomaa kwa mizizi. Taabu inayowapata wafanyakazi ya kung'oa mti ni kuhakikisha hawabakishi kisiki chini ya ardhi inamaana kuondoa mzizi wote. Miaka kumi ya ndoa si jambo rahisi kuifikia. Na ndoa iliyofika um...