otchoujr

Shikamoo Mjomba,
          Naitwa Othman NI kijana wa kitanzania umri wangu ni miaka 23 , Nina kipaji cha utunzi na uandishi WA RIWAYA na DIWANI kwa lugha za kiingereza na kiswahili, kwenye app ninatumia jina la otchoujr. Kama itakupendeza Mjomba , naomba upitie kazi zangu .
          HADITHI:
          Moyo wenye Matundu
          Bomu la Kisaikolojia 
          Chasing rainbows
          Simulizi fupi ya ubaya wangu
          
          DIWANI:
          Stains of love
          In love with my poetry 
          
          Asante , na kila la kheri Mjomba Rukaria.