Sakramenti yetu ya Ajabu.

2 0 0
                                    

Sakramenti hii  ni Sakramenti ya upadre ni Sakramenti ya kipekee ndani ya Kanisa Katoriki kwa sababu ya upekee wake iliyo nao katika maisha ya kibinadamu.Ni Sakramenti pekee hupokelewayo na watu maalumu tu waliokizi vigezo vya kuipokea Sakramenti hiyo.Ni Sakramenti wanayo pewa watu walio katika Kanisa Katoriki na tena ni wanaume ambao wanastahili kupewa Sakramenti hii.Daima watu wenye Sakramenti hii wanauwezo wa Kuondoa dhambi hapa Duniani na kumshusha Yesu kupitia mafumbo matakatifu ya Ekaristi na Divai Takatifu.

Daima watu wenye Sakramenti hii wanauwezo wa Kuondoa dhambi hapa Duniani na kumshusha Yesu kupitia mafumbo matakatifu ya Ekaristi na Divai Takatifu

Ups! Gambar ini tidak mengikuti Pedoman Konten kami. Untuk melanjutkan publikasi, hapuslah gambar ini atau unggah gambar lain.
Kamu telah mencapai bab terakhir yang dipublikasikan.

⏰ Terakhir diperbarui: Apr 01, 2022 ⏰

Tambahkan cerita ini ke Perpustakaan untuk mendapatkan notifikasi saat ada bab baru!

Sakramenti ya AjabuTempat cerita menjadi hidup. Temukan sekarang