sehemu 2

7 1 0
                                    

Mr martin alivyomaliza kusalimiana na maria akatangulia kwenda chumba cha kikao.
Maria alikuwa anaonekan kama anatetemeka mpka mrs delmas akamuuliza "vp maria kuna tatizo? Au ni uoga wa mara ya kwanza?"
"Nahis ni uoga wa mara ya kwanza, mana sijawah kufanya presentation na watu wazito kidogo"
"Ohh ok hata mm ilikuwa hivyo nenda bafuni kakae kama dk 2 halaf uje kweny kikao. Mda bado upo nenda karefresh mind"
"Ok mrs delmas"
Maria akatoka na akaenda bafuni, alivyofika akajiangalia kweny kioo na hakuamin kilichotokea na kujisemea "it has been 2 yrs na bado nakuwa na hofu, ohh god please help me" huku akifungua bomba na kunawa mikono yake na akipktisha vimaji kidogo uson ili asiharib make up yake
" ohh i will get over it, i will get over it nitashinda" alijesemea baada ya kufunga bomba la maji na kuamua sasa ni muda wa kwenda kweny kikao
Wakat alipofika chumba cha kikao alikuwa ametayarishiwa kitu vya upande wa nyuma kwasbab yy alikuwa msaidizi
Alichukua kiti na kukaa na mda huo kikao kilianza ...kikao kilafanyika kama masaa 2 hiv mpka saa 11 asubuhi wakatoka
Wakat anatoka kweny kikao alikutan na Mr Edmund Simen mmliki wa Kampuni ya EMIGOS Group alikuwa alikuwa mtu wa miaka kama 30 hiv au 32 alimtambua haraka kwasabb alikuwa mfuatiliaji mzuri wa jarida la forbes billionares kwa hiyo matajiri weng alikuwa anawatambua
Alimsalimia Mr siamen
Edmund alikuwa anatafuta office ya Martin ..alimwelekeza na akamuacha kwa secretary wa martin yy akaendelea na shughuli zake
Aliporidi ofisin kwake kama kawaida andre akaja kwa kumpokea na kumuuliza "vp leo kikao mambo yaliendaje?"
"Mambo yalikiwa poa project imeidhinishwa na kuanzia sasa itaanza kufanyiwa kaz"
"Ohh thanks god watu waanze kufanyia kazi mana ni project kubwa sana na itachukua kampuni fedha nyingi ila profit return yake ni kubwa, it very high risk"
"Yap ni risk kubwa but you cant succeed without taking high risks"
"Ni kwel huwez , acha nikuache mana ninahitajika logistics department kuna vitu wanahitaj kidogo"
"Okay Andre" wakat anatak kutoka juliana akaja akasema "ohh nasikia mwaka huu pesa za likizo zitapunguzwa kidogo kwa sabab ya project hii"
Andre na frednand "what! " huku frednand akiendelea "i was planning to use it in my vacation to milan" juliana akamjib kwa kichek" sasa mwak huu ndo ukazurure kweny magorofa ya salanda, sio huk milan na kidangara chako"
Andre nay akasema "ohhh damn sijui hata itakuaje na hii ndo kwanza mwaka wa kwanza wa project"
Huku wakimgeukia maria, juliana akamuuliza "enhee tuambie hii project it will take how long?"
Maria akimjibu huk akiwatazama "it will take 3 to 4 yrs"
Wakishtuka "ohh my god" wakat wakishtuka Mrs delmas aliingia huk akiwa na mtu mwingine alikuwa ni mtanashat alivalia suti nzuri nyeusi ya brand ya armani
Mrs delmas alimwambia secretary wake asimruhsuu mtu kuingia ofisini kwasabab anamgen mzito
Andre aliamua aende kweny department aliyoitwa kwasabab walishaanza kumuulizia , huku fred na juliana wakiwa wamekaa kwa huzuni
Maria aliamua kendelea na shughuli zake pale mpka mda wa luch ulivyofika. Akaamua ampigie renata best friend wake ili wapate lunch pamoja. Wakaamua wakutane kweny mgahawa ulikuwa umetulia uliitwa Resela restaurant .ulisifika kwa kuwa na mazingira tulivu
Wakat wapo restaurant na renata, maria alimwambia renata kilichotokea na kumueleza hali yake aliyoipata hata kama miaka 2 imepita
Renata akamwambia " usihofu it just first time labda, usihofu ni miaka 2 imeshapita"
"I know ni miak miwil ila bado, oh goshh sijui ile hofu ilitokea wap"
"Keep cool usije ukajarib kuonesha dalili za kumfaham"
"Ok i will"
Waliendelea na stori stori zingine baadae wakaagana maria akarudi zake ofisini
Alivyorudi ofisin hali ilikuwa tu ile ile kazi za kawaida ndogo ndogo alikuwa anafanya mpka jion ilivyofika mda wa kaz kuisha akaondoka zake kuelekea nyumban
Alipokaribia nyumban akapitia store ya karib ili kupata vitu kidogo vya vyakula ili kuongezea nyumban
Wakta anaangalia angalia vya kununua sim yak ilingia meseji kutoka kwa mama ake akimuuliza anaendeleaje ...kwasabab walikuwa wanaishi mbal nae mkoa tofauti na yy
maria aliamua kumpigia mama ake na kumwambia anaendelea vizuri
Mama ake alimuuliza "vp kuhusu kaz "
Maria almjib "poa tu mama ninaendelea vizuri"
Mama "sawa mwanangu, ila vp kuhusu hali yak ijapokuwa ni miaka miwil imepita ila ilikuathiri sana"
Maria "niko sawa mama sina shida yoyote, halaf nitajitahid kuja mwisho wa mwezi huk niwatembelee"
Mama " sawa mwanangu tunakungoja kwa ham"
Maria " ok mama kwaheri"
Mama " ok mwanangu usiku mwema" sim na ikakata
Alipomaliza kufanya manunuzi yake akarudi nyumban akafanya shughul zake kama kawaida za kusafisha nyumba na kutayarisha nguo zake.
Siku tatu zilipita hal ilikuwa ya kawaida ofisin kwenda asubuhi na kurudi jioni
Ilikuwa hivyo katika siku hizo tatu
Weekend ilifika maria aliamua kwenda matembezi na rafiki yake renata wakaamua kwenda kubarizi kweny beach resort moja iliyotulia ..iliosifika kwa huduma zake nzuri
Walifika hapo kweny resort wakaamua waende swimming pool wachezee chezee maji
Wakat wapo wanaogolea wakashangaa wanaletewa vinywaji bila kujua vimetoka wap, vilikuwa vya bei ghali wakaamua kuvikataa
Yule waiter akamua kuvirudisha , dk kama 6 zilipita akaja tena waiter akiwa na kikartasi akawapa wasome , maria akachukua akasoma
Kiliandikwa
Naomba mpokee kinywaji hiki marafiki wangu wa zaman
Kutoka kwa best friend yenu wa chuo

Walipigwa na butwaa wakaanza kufikiria ni nan ambay ameweza kutuma hiko kinywaji cha bei kali hiv
Baadae wakawaza wakataa wakamwambia waiter, aliyeleta kinywaji alete mwenyewe
Dk 2 hazijapita akaja mwenyewe akiwa ameshikilia kile kinywaji na huku alikuaa amepiga black valentino suits with pure black leather berluti shoes.
Renata na maria wote walipigwa na butwaa hawakuamin huyo best friend wao waliomuona
Huku maria akisema " he has changed a lot "

Kamu telah mencapai bab terakhir yang dipublikasikan.

⏰ Terakhir diperbarui: Apr 13, 2020 ⏰

Tambahkan cerita ini ke Perpustakaan untuk mendapatkan notifikasi saat ada bab baru!

MariaTempat cerita menjadi hidup. Temukan sekarang