Moyo Wenye Matundu 'Ruptured heart '.
Kijana Ngeleja katika dimbwi la madhila mazito , moyo wake umejaa matundu kwa pigo la kuwapoteza wazazi wake wawili , kunajisiwa kwa mdogo wake aitwaye " Nyanjige ". Kwa mwenendo huu wa dunia , anauvua unyoofu wa moyo na kugeuka na kujiingiza kwenye uhalifu pale Mkoani Mwanza . Hana tone la huruma , anatumia mkono wa...